Saturday, October 14, 2017

RATIBA YA MECHI ZA ULAYA LEO JMOSI 14/10/2017



Ligi Mbalimbali zitatimua vumbi leo huko Barani Ulaya na hapa nimekuwekea ratiba kamili na muda wa mechi kuanza mechi hizi zitakuwa Live  MICHAKATOYETU BLOG kuanzia muda wa mechi kuanza, angalizo hakikisha una browser ya Chrome ili kiweza kufurahia mechi Live.


England - Premier League October 14

14:30 Liverpool vs Manchester United
17:00 Burnley vs West Ham United
17:00 Crystal Palace vs Chelsea
17:00 Manchester City vs Stoke City
17:00 Swansea City vs Huddersfield Town
17:00 Tottenham Hotspur vs AFC Bournemouth
19:30 Watford vs Arsenal



Italy - Serie A October 14


19:00 Juventus vs Lazio
21:45 Roma vs SSC Napoli


Spain - LaLiga Santander October 14

14:00 Athletic Bilbao vs Sevilla
17:15 Getafe vs Real Madrid
19:30 Alaves vs Real Sociedad
21:45 Atletico Madrid vs Barcelona


Germany - Bundesliga October 14


16:30 Bayern Munich vs Freiburg
16:30 Hannover 96 vs Eintracht Frankfurt 16:30 Hertha Berlin vs Schalke 04
16:30 Hoffenheim vs Augsburg
16:30 Mainz 05 vs Hamburger SV
19:30 Borussia Dortmund vs RasenBallsport Leipzig



France - Ligue 1 October 14



18:00 Dijon vs Paris Saint Germain
21:00 Caen vs Angers
21:00 Guingamp vs Rennes
21:00 Lille vs Troyes
21:00 Saint-Etienne vs Metz
21:00 Toulouse vs Amiens



Netherlands - Eredivisie October 14


19:30 Ajax vs Sparta Rotterdam
19:30 Roda JC Kerkrade vs NAC Breda
21:45 FC Utrecht vs SC Heerenveen
21:45 Feyenoord vs PEC Zwolle
Belgium - First Division A October 14
19:00 Sporting Charleroi vs Eupen
21:00 Genk vs Royal Excel Mouscron
21:00 Lokeren vs St.Truiden
21:30 Gent vs Waasland-Beveren


Portugal - Cup October 14


17:00 GDU Torcatense vs Maritimo
17:00 Vasco Da Gama vs Vitoria de Guimaraes
18:00 Cova da Piedade vs Anadia
20:00 ARS Martinho vs Braga
20:00 Academico Viseu vs Feirense
21:00 Olhanense vs Benfica



Scotland - Premiership October 14


17:00 Celtic vs Dundee FC
17:00 Hamilton Academical vs Motherwell 17:00 Hibernian vs Aberdeen
17:00 Partick Thistle vs Kilmarnock
17:00 Ross County vs Hearts

HAYA NDIO MAMBO YA SIMBA VS SPORTPESA

DAR ES SALAAM, Tanzania- Wachezaji wa klabu ya Simba SC wamepata nafasi ya kutembelea ofisi za kampuni ya SportPesa ambao na wadhamini wakuu wa mabingwa hao mara 18 wa Ligi Kuu ya Tanzania bara pamoja na kombe la Shirikisho.
Wachezaji wa Simba wakiongozwa na nahodha Method Mwanjale pamoja na uongozi mkuu wa klabu hiyo akiwemo Afisa Habari, Haji Manara, uliwasili ofisini hapo majira ya 10:00 kamili jioni ambapo walipokelewa na Mkurugenzi Mkuu wa SportPesa, Pavel Slavkov pamoja na Mkurugenzi wa Utawala na Utekelezaji, Bwana Tarimba Abbas.
Moja ya mambo ambayo yalikuwa ni mada ya kuu ya mazungumzo ni pamoja na uhusiano kati ya klabu hiyo ambao ni mabingwa watetezu wa kombe la Shirikisho pamoja na SportPesa ambapo taasisi hizo mbili zimeingia mkataba wa miaka mitano wa udhamini mwezi Mei mwaka huu.
Sambamba na mahusiano ya taasisi hizo mbili, lakini wachezaji wa Simba walipata fursa ya kumegewa somo juu ya masuala ya teknolojia ikiwa ni pamoja na matumizi ya kurasa zao za mitandao ya kijamii kama vile Facebook, Twitter na Instagram, somo ambalo lilitolewa na Kelvin Twissa, Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa SportPesa.
Thamani ya Mchezaji
Sambamba na matumizi ya teknolojia na umuhimu wake kwa wachezaji, nyota hao wa Simba walipewa maneno mawili matatu kuhusiana na vitu vinavyopelekea thamani ya mchezaji kuongezeka, somo ambalo lilitolewa na Bwana Tarimba Abbas, Mkurugenzi wa Utawala na Utekelezaji wa SportPesa.
“SportPesa ni kampuni inayojulikana kimataifa na Simba ni klabu kubwa inayojulikana Tanzania na Afrika, kwahiyo unapokuwa mchezaji wa klabu ya Simba ni lazima uwe mtu ghali.
“Suala kubwa linalokuja hapa ni wewe mchezaji unajifanya ghali kiasi sana lakini ni lazima ujue kuwa ughali wako unakuja sambamba na uwezo wako uwanjani.
“Sio unakuwa mtu unayeonekana mara kwa mara vijiweni, kila siku unazungumza wewe. Fanya kazi uwanjani, acha watu wakuzungumzie wewe’, alisema Bwana Tarimba.
Baada ya somo hilo murua, uongozi wa Simba ulitoa shukrani zake za dhati kwa wadhamini wao, SportPesa kwa kukabidhi cheti maalum sambamba na jezi ambayo ilisainiwa na wachezaji wote wa Simba.
Baada ya zoezi hilo, wachezaji wa Simba walishindana kupiga danadana na wafanyakazi wa SportPesa ambapo kwa upande wa Simba, kiungo Mzamiru Yassin pamoja na Erasto Nyoni waliongoza mashambulizi na baada ya hapo uongozi wa pande zote mbili pamoja na wachezaji walipiga picha ya pamoja.
Hii ni mara ya kwanza kwa klabu ya Simba kufanya ziara kwa wadhamini wao SportPesa, tangu waliposaini mkataba wa udhamini mwezi Mei mwaka huu, kitendo ambacho kinadumisha uhusiano wa pande zote mbili sambamba na kubadilishana mawazo.

Friday, October 13, 2017

MAGAZETI YA LEO JMOSI 14/10/2017





































Tuesday, October 10, 2017

MAGAZETI YOTE YA LEO JNNE 10/10/2017 HAYA HAPA