Tuesday, September 26, 2017

HAYA NDO MAAJABU YA C. RONALDO KWENYE UEFA

Tags
               

Mchezaji wa kimataifa wa Ureno na Real Madrid, Cristiano Ronaldo ameendeleza rekodi ya ufungaji baada ya jana kuifungia klabu yake ya Real Madrid magoli mawili kwenye ushindi wa 3-1 dhidi ya Borussia Dortmund ya Ujeruman.

                
Madrid imepata magoli hayo kupitia kwa mshambuliaji wake wa pembeni Galeth Bale dadika ya 18 kipindi cha kwanza na Cristiano Ronaldo dadika ya 50 kipindi cha pili na dakika ya 79.

                
Michuano hii itaendelea tena leo kwa kujumuisha timu mbalimbali kutoka mataifa tofauti kama Atletico de Madrid itakayoikaribisha Chelsea na PSG kuikaribisha Buyern Munich, ratiba kamili ya leo nimekuwekea hapa chini.


             
Champions League - Group A September 27
21:45 Basel vs Benfica
21:45 CSKA Moscow va Manchester United
Champions League - Group B September 27
21:45 Anderlecht vs Celtic 21:45 Paris Saint Germain vs Bayern Munich
Champions League - Group C September 27
19:00 Qarabag FK vs Roma
21:45 Atletico Madrid vs Chelsea
Champions League - Group D September 27
21:45 Juventus vs Olympiacos
21:45 Sporting CP vs Barcelona







KANE WA TOTTENHAM APIGA ZOTE 3 USIKU WA UEFA JANA

Tags



Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur Harry Kane sasa ni moto wa kuotea mbali bila ya kujali ni England tu au Ulaya baada ya jana kupiga hat trick.


Kane ameifunga Spurs mabao matatu ugenini kwa Apoel Nicosia na kushinda kwa mabao 3-0
Mshambuliaji huyo alianza kuzifumania nyavu katika dakika ya 39 mpaka Spurs walivyoenda mapumziko na goli moja.


Kane akaongeza la pili dakika ya 62 na kuongeza la tatu dakika tano baadaye na kitu kilichowashamga kabisa wenyeji ambao walikuwa na ndoto ya kufanya vizuri katika Ligi ya Mabingwa Ulaya.

TAZAMA HAPA MECHI ZOTE ZA UEFA LEO JNNE 2

Tags

Mechi hizi zitaanza saa 21:45 usiku huu usikose kuzitazama hapa hapa Nijuzehabari Blog kwa kutumia Browser ya Chrome ifikapo saa 21:45.
BOFYA HAPA KUTAZAMA MECHI LIVE BORUSSIA DORTMUND VS REAL MADRID SAA 21:45
BOFYA HAPA KUTAZAMA MECHI LIVE MANCHESTER CITY VS SHAKHTAR DONETSK SAA 21:45
BOFYA HAPA KUTAZAMA MECHI LIVE SPARTAK-MOSCOW VS LIVERPOOL SAA 21:45
BOFYA HAPA KUTAZAMA MECHI LIVE AS MONACO VS FC PORTO SAA 21:45
BOFYA HAPA KUTAZAMA MECHI LIVE APOEL-NICOSIA VS TOTTENHAM HOTSPUR SAA 21:45
BOFYA HAPA KUTAZAMA MECHI LIVE NAPOLI VS FEYENOORD-ROTTERDAM .

Sunday, September 24, 2017

YANGA:TSHISHIMBI KUUKOSA MCHEZO UJAO

Tags

Kiungo wa Yanga Sc, Papy Kabamba Tshishimbi hatokuwepo katika mchezo ujao wakati timu yake ya Yanga itakapocheza na Mtibwa Sugar.
Yanga itakutana na Mtibwa Sugar katika mzunguko wa tano mwendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara Jumamosi ya wiki ijayo.
Tshishimbi Ataukosa mchezo huo baada ya jana kupewa kadi ya njano ya tatu katika mechi nne, Kadi hiyo itamfanya kuukosa mchezo huo na kuwa kama mtazamaji timu yake itakapokuwa uwanjani.

RATIBA LIGI KUU VODACOM LEO JPILI 24/09/2017

Tags
Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) itaendelea tena leo Jumapili tarehe 24 September 2017 kwa jumla ya michezo minne, ambayo itakuwa ni kati ya Ruvu Shooting itakayoialika klabu ya Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Mabatini saa 16:00 jioni.
Mchezo wa pili utazikutanisha klabu za Stand United dhidi ya Mbeya City katika Uwanja wa Kambarage Shinyanga saa 16:00 jioni.
Mchezo wa tatu utakuwa kati ya Singida United itakayoialika Kagera Sugar katika Uwanja wa Jamuhuri Dodoma saa 16:00 jioni.
Mchezo wa nne utakuwa kati Azam Fc itakayoialika Lipuli Fc ya Iringa kwenye Uwanja wa Azam Complex saa 19:00 usiku.

Thursday, September 21, 2017

Tags

Kikosi cha Mbao Fc kinachoanza leo dhidi ya Simba mechi hii itaanza saa 16:00 jioni hii katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
1:Kelvin Igendelezi
2:Boniphace Maganga
3:Abubakar Ngalema
4:Yusuf Mgeta
5:Yusuph Ndikumana
6:Sadala Lipangile
7:Ibrahim Njohole
8:Hussen Kassanga
9:Moses Shabani
10:Saidi Said
11:Shabibu Kiyombo
Kikosi cha Akiba cha Mbap Fc
1:Kabally Swaleh
2:James Msuva
3:Herbet Lukindo
4:Daud Mwasa
5:Amos Charles
6:Ndaki Kisambare
7:Emmanuel Muvyekore

KIKOSI CHA SIMBA LEO DHIDI YA MBAO HUKO MWANZA. 21/09/2017

Tags


Kikosi cha Simba SC dhidi ya Mbao FC mechi hii itaanza saa 16:00 jioni hii
1:Aishi Manula
2:Erasto Nyoni
3:Mohamed Hussen Tshabalala
4:Juuko Murushid
5:Method Mwanjali (C)
6:James Kotei
7:Mzamiru Yassin
8:Nicolaus Gyan
9:John Raphael Bocco
10:Emmanuel Okwi
11:Shiza Kichuya


Kikosi cha Akiba


1:Emanuel Mseja
2:Ally shomary
3:Salim Mbonde
4:Jonas Mkude
5:Said Hamis Ndemla
6:Haruna Niyonzima
7:Juma Luizio

MAGAZETI YOTE YA LEO ALHAMISI 21/09/2017

Tags