Friday, September 15, 2017

YANGA WAKIWA MAZOEZI YA MWISHO NDANI YA MAJIMAJI

Tags


Yanga wakiwa ndani ya majimaji stadium leo ijumaa wakiomba dua kabla ya kuanza mazoezi


Wachezaji wakiwa ktk warming up.


Leo ijumaa ni siku moja kabla ya mchezo kati ya majimaji fc na yanga. Ambapo kisheria siku moja kabla ya mchezo mgeni anakuwa ni siku yake ya kuitumia uwanja.
Mechi hii itapigwa kesho hapahapa saa 10 kamili


EmoticonEmoticon