Tuesday, September 26, 2017

HAYA NDO MAAJABU YA C. RONALDO KWENYE UEFA

Tags

               

Mchezaji wa kimataifa wa Ureno na Real Madrid, Cristiano Ronaldo ameendeleza rekodi ya ufungaji baada ya jana kuifungia klabu yake ya Real Madrid magoli mawili kwenye ushindi wa 3-1 dhidi ya Borussia Dortmund ya Ujeruman.

                
Madrid imepata magoli hayo kupitia kwa mshambuliaji wake wa pembeni Galeth Bale dadika ya 18 kipindi cha kwanza na Cristiano Ronaldo dadika ya 50 kipindi cha pili na dakika ya 79.

                
Michuano hii itaendelea tena leo kwa kujumuisha timu mbalimbali kutoka mataifa tofauti kama Atletico de Madrid itakayoikaribisha Chelsea na PSG kuikaribisha Buyern Munich, ratiba kamili ya leo nimekuwekea hapa chini.


             
Champions League - Group A September 27
21:45 Basel vs Benfica
21:45 CSKA Moscow va Manchester United
Champions League - Group B September 27
21:45 Anderlecht vs Celtic 21:45 Paris Saint Germain vs Bayern Munich
Champions League - Group C September 27
19:00 Qarabag FK vs Roma
21:45 Atletico Madrid vs Chelsea
Champions League - Group D September 27
21:45 Juventus vs Olympiacos
21:45 Sporting CP vs Barcelona









EmoticonEmoticon