Kikosi cha Simba kilichowasili jijini Mwanza jana Jumatano tayari leo asuhuhi wameanza mazoezi Uwanja wa CCM Kirumba kujiwinda na mechi ya kesho dhidi ya Mbao.
Wekundu hao wa Msimbazi wakiongozwa na makocha wao, wameanza kufanya mazoezi mepesi ya kupiga mpira huku makipa nao wakijifua vilivyo.
Kikosi hicho kinashuka dimbani kesho kupambana na Mbao FC katika mechi ya nne ya Ligi Kuu Tanzania Bara, huku wapinzani wao wakiahidi kwamba wasitarajie mteremko.

EmoticonEmoticon