Mechi ya mwendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Singida United vs Kagera Sugar umesogezwa mbele kwa takribani siku moja, ambayo itakuwa ni Jumapili tarehe 24-09-2017.
Mchezo huo ulikuwa uchezwe Jumamosi tarehe 23-09-2017 sasa umesogezwa hadi Jumapili tarehe 24-09-2017 kesho yake, mabadiliko haya yamefanyika kutokana na kuwa uwanja utakaotumika kwa ajili ya mchezo huo Jamuhuri kutumika kwa shughuli za Kijamii siku hiyo hiyo ya Jumamosi tarehe 23-09-2017.
EmoticonEmoticon