Saturday, September 2, 2017

TAIFA STARS: KIKOSI KINACHOANZA LEO DHIDI YA BOTSWANA

Tags


KIKOSI CHA KWANZA CHA TANZANIA DHIDI YA BOTSWANA
1:Aishi Manula
2: Erasto Nyoni
3:Gadiel Michael
4:Abdi Banda
5:Kelvin Yondani
6:Himid Mao
7:Simon Msuva
8:Mzamiru Yassin
9:Shiza Kichuya
10:Khamis Abdallah
11:Mbwana Ally Samatta
KIKOSI CHA AKIBA
1:Mwadini Ally
2:Boniphace Maganga
3:Raphael Daud
4:Salim Mbonde
5Said Ndemla
6:Aziz Bitegeko
7:Elias Maguri
8:Kelvin Sabato

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Salum Mayanga amemuanzisha kiungo wa Sony Sugar ya Kenya, Abdallah Hamisi kwa mara ya kwanza.

Hamisi ameanzishwa kucheza kama kiungo mchezeshaji na kuwaweka benchi Said Ndemla na Raphael Daud katika mechi ya leo dhidi ya Botswana.


Kelvin Yondani amerejea na kupewa nafasi ya kuanza pambano lake la kwanza tangu achezee mechi dhidi ya Chad mwaka jana.


Kinda wa Aspire Academy, Aziz Bitegeko yupo benchi pamoja na Elias Maguli.


EmoticonEmoticon