BREAKING NEWS: MAHAKAMA YA KENYA YAFUTA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA URAISI
Mahakama ya Juu nchini Kenya imefutilia mbali matokeo ya uchaguzi wa urais uliofanyika mapema mwezi uliopita katika uamuzi kuhusu kesi iliwasilishwa na muungano wa upinzani National Super Alliance.
Uchaguzi utarudiwa katika siku 60 zijazo.
Uchaguzi utarudiwa katika siku 60 zijazo.
Habari zaidi tutakuletea hapo baadae,endelea kutembelea MICHAKATOYETU BLOG (www.michakatoyetu.com)
EmoticonEmoticon