Sunday, September 24, 2017

RATIBA LIGI KUU VODACOM LEO JPILI 24/09/2017

Tags

Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) itaendelea tena leo Jumapili tarehe 24 September 2017 kwa jumla ya michezo minne, ambayo itakuwa ni kati ya Ruvu Shooting itakayoialika klabu ya Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Mabatini saa 16:00 jioni.
Mchezo wa pili utazikutanisha klabu za Stand United dhidi ya Mbeya City katika Uwanja wa Kambarage Shinyanga saa 16:00 jioni.
Mchezo wa tatu utakuwa kati ya Singida United itakayoialika Kagera Sugar katika Uwanja wa Jamuhuri Dodoma saa 16:00 jioni.
Mchezo wa nne utakuwa kati Azam Fc itakayoialika Lipuli Fc ya Iringa kwenye Uwanja wa Azam Complex saa 19:00 usiku.


EmoticonEmoticon