Sunday, September 24, 2017

YANGA:TSHISHIMBI KUUKOSA MCHEZO UJAO

Tags


Kiungo wa Yanga Sc, Papy Kabamba Tshishimbi hatokuwepo katika mchezo ujao wakati timu yake ya Yanga itakapocheza na Mtibwa Sugar.
Yanga itakutana na Mtibwa Sugar katika mzunguko wa tano mwendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara Jumamosi ya wiki ijayo.
Tshishimbi Ataukosa mchezo huo baada ya jana kupewa kadi ya njano ya tatu katika mechi nne, Kadi hiyo itamfanya kuukosa mchezo huo na kuwa kama mtazamaji timu yake itakapokuwa uwanjani.


EmoticonEmoticon