Ligi Kuu Tanzania Bara kwa mzunguko wa nne itaendelea tena wiki hii, ambapo alhamisi tarehe 21-09-2017 kutakuwa na mechi kali kati ya Mbao Fc ya Jijini Mwanza na Simba Sc ya Jijini Dar es salaam majira ya saa 16:00 jioni katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
Mchezo huu utakuwa Live kupitia Kingamuzi cha Azam Tv channel namba 106 Azam Sports 2,tazama hapa chini michezo yote itakayokuwa live wiki hii.
Alihamisi Mbao Fc vs Simba Sc Uwanja wa CCM Kirumba- Jijini Mwanza saa 16:00 jioni
Jumamosi Mwadui Fc vs Tanzania Prisons uwanja wa Mwadui Complex- Shinyanga saa 16:00 jioni
Jumapili Singida United vs Kagera Sugar Uwanja wa Jamuhuri- Dodoma saa 16:00
Jumapili Stand United vs Mbeya City Uwanja wa Kambarage- Shinyanga saa 16:00 jioni
Jumapili Azam Fc vs Lipuli Fc Uwanjwa wa Azam Complex- Dar es salaam saa 19:00 usiku
EmoticonEmoticon