Thursday, September 14, 2017

YANGA FC TAYARI WAPO ARDHI YA SONGEA KUIVAA MAJIMAJI KESHO

Tags


UGABE HOTEL MJINI SONGEA
AMBAPO YANGA WAMEFIKIA 

Jioni ya jana kikosi cha Yanga kiliwasili salama, Mjini Songea.
Kikosi cha Yanga kimetua salama mjini Songea mkoani Ruvuma kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mechi yao dhidi ya Majimaji.

Yanga itafanya maandalizi leo dhidi ya Majimaji ambayo watashuka dimbani kesho Jumamosi dhidi ya Majimaji katika mechi ya Ligi Kuu Bara.

Daktari wa klabu hiyo amesema kuwa wachezaji wote wako sawa hawana shida yoyote na mazoezi yataanza kesho yaani leo ijumaa


EmoticonEmoticon