Kiungo mkabaji wa klabu ya Yanga,Papy Kabamba Tshishimbi amweka wazi mtazamo wake kuhusiana na ligi kuu Tanzania bara mpaka sasa.
Tshishimbi ambae ni raia wa Congo alijiunga na timu hiyo yenye maskani yake katika mitaa ya Twiga na Jangwani jijini Dar es salaam akitokea Mbabane Swallow ya nchini Swaziland.
Katika kauli yake Tshishimbi amesema,"Ligi ya Tanzania ni ngumu na yenye ushindani mkubwa, hupaswi kudharu timu,unatakiwa kujiandaa vyema kwa kila dakika 90 unazokwenda kuzikabili, sifikirii tena kuhusu sare kwenye mchezo uliopita,mimi na wachezaji wenzagu tumejindaa vizuri kwa ajili ya michezo ijayo,tunahitaji kucheza kama mabingwa ili kutetea ubingwa.

EmoticonEmoticon