Leo jumatano hii ndani ya uwanja wa majimaji mjini Songea NJOMBE MJI wanakipiga mechi ya kirafiki na timu ya ligi daraja la kwanza kutoka Songea JKT MLALE.
Njombe ni timu iliyopanda daraja kucheza ligi Kuu msimu huu wa 2017/2018
Matokeo
Dakika ya 30
Njombe MJI 0-1 JKT MLALE
Sasa hivi ni kipindi cha pili dk ya 49 bado matokeo ni yaleyale
Dakika ya 55
Njombe MJI 1-1 JKT MLALE
Dakika ya 75
Njombe MJI 2-1 JKT MLALE
Game over
Njombe MJI 2-1 JKT MLALE
EmoticonEmoticon