KUMBUKA SIMBA INA MCHEZAJI WA KIGENI KUTOKA GHANA AMBAE NI MSHAMBULIAJI NA ALISHAKUJA BONGO KWENYE UTAMBULISHO SIMBA DAY NA AKAUPIGA MWINGI DHIDI YA RAYOL SPORT NA AKARUDI KWAO.
SASA ANAKUJA RASMI BONGO KUJA KUFANYA KAZI NA SIMBA WEEKEND HII

Habari njema kwa mashabiki wote wa Simba ni kurejea kwa Mshambuliaji Mghana Nicholaus Gyan, siku nyingi nimekuwa nikipokea Simu, sms kutoka kwa Mashabiki wa Simba wakiitaji kujua Mchezaji huyo atawasili lini Tanzania ili kuanza kuitumia Simba.
Sasa ni rasmi Nicholaus Gyan atawasili Tanzania kwa ajili ya kuitumikia Klabu hiyo September 2 arfajili.
Kupitia kwa Afisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema Mshambuliaji huyo kutoka Ghana atawasili September 2 na kama Kocha wake Joseph Omog ataamua kumtumia basi utamwona kwenye mechi ya Simba vs Azam September 6.
SASA ANAKUJA RASMI BONGO KUJA KUFANYA KAZI NA SIMBA WEEKEND HII

EmoticonEmoticon