Mzee Mapunda hiyo mwenye suti ya blue.
Huyu kwa sasa ndio mwenye kiti Mpya wa waamuzi Tanzania ambae amechanguliwa kwa kura zote za ndio katika kura za wajumbe wote ambao walihusika katika uchaguzi uliofanyika majuma mawili yaliyopita kule DODOMA.
MZEE Mapunda ambae ni mkazi wa mkoa wa ruvuma ndani ya manispaa ya songea. Pia ndie aliyekuwa mwenyekiti wa kamati huru ya uchaguzi wa club ya majimaji uliofanyika tar 26 July ambapo alisimamia zoezi hilo wa weledi mkubwa.
TANZIA
Mwenyekiti huyo mpya wa Chama Cha Waamuzi Taifa, Ndugu JOSEPH MAPUNDA, amefiwa na MTOTO WAKE, ZAWADI JOSEPH MAPUNDA
Bi ZAWADI, alikuwa akifanya kazi ktk Shirika la World Vision tawi la Morogoro, amefariki leo asubuhi kwa ajili ya gari mkoani humo
Taratibu za maziko zinafanywa
Namba za Mwenyekiti Ndugu JOSEPH MAPUNDA
0657 39 32 08
NA
0754 893 208
Kwa yeyote aliyekaribu na Mzee wetu na wenye mapenzi mema na wote wapenda soka tunaomba tumpe support katika kipindi hiki kigumu
Asanteni
EmoticonEmoticon