Mchango wa safari wa kwenda kushangilia majimaji fc ikiwa Mbeya dhidi ya Mbeya city jumamosi hii.
Wanasongea wote wanaopenda kwenda mbeya safari itakuwa ni tarehe 25/08/2017 siku ya ijumaa saa mbili usiku na kuwasili kule majira ya alfajiri siku ya mchezo. Safari ya kurudi itakuwa ni baada ya mchezo kumalizika tu.
GHARAMA YA KWENDA NA KURUDI
25000/=
WAHUSIKA WA SAFARI HII NI VIONGOZI WA TAWI ULIZA UJIBIWE WALIOPO MAKAO MAKUU YAANI NJE YA GETI KUU LA KUINGILIA UWANJA WA MAJIMAJI
UNAWEZA KWENDA PALE AU PIGA SIMU KWA KATIBU MSAIDIZI
0719 828 099
Uweze kutoa mchango wako na urekodiwe kwenye orodha.
EmoticonEmoticon