Wednesday, August 2, 2017

MATOKEO:R.SHOOTING VS SINGIDA UTD

Tags

Mechi ya kujipima ubavu kwa ajili ya maandalizi ya ligi Kuu msimu wa 2017/2018 kati ya R.Shooting na Singinda utd mpira umekwisha hakuna mbabe


Jioni hii klabu ya Singida United imecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya klabu Ruvu Shooting yenye maskani yake Mabatini,Mlandizi mkoani Pwani ambapo katika mchezo huo timu hizo zimetoshana nguvu kwa kutoa sare ya goli 1-1

Usisahau kushare link hii kwenye magroup ya whatsap

Like page yetu facebook


EmoticonEmoticon