Mshambuliaji mpya wa Paris Saint-Germain Neymar sasa rasmi ataitumikia Klabu hiyo kwa miaka mitano mbele Neymar ametua PSG kwa uhamisho wake wa pauni million 198 ambayo ni rekodi mpya ya usajili duniani akitokea Fc Barcelona.
Thamani ya Neymar wakati akitokea Klabu yake ya mwanzo De Santos kwenda Barcelona,imepanda kwa pauni million 100.
Neymar atakuwa akilamba mshahara wa pauni 500,000 katika mkataba wake huo wa miaka mitano na Klabu hiyo ya PSG.
EmoticonEmoticon