Monday, August 21, 2017

VUNJA MBAVU ZAKO HAPA

Tags






*Trafic Mmoja Alikua Akikagua Madaftari ya Watoto wake Wawili..*

*👉Daftari la Mwanawe Mkubwa hakulipenda,*
*"Kwa hasira Akamfokea sana,"*
*Wee kwanini hufanyi vizuri Shuleni?*
*Huna Akili wee*

*👉Akachukua Daftari la Mdogo*
*"Vile Kulitazama tu,*
*"Akamrudishia Daftari lake kisha Trafic huyoo Akaondoka zake bila Kusema lolote.*

*👉Yule Mtoto Mkubwa Akamuuliza Mdogo wake..!!*
*"Khhh...!! Sasa mbona wewe hajakufokea?*
*Ina mana wewe una Akili sana?*

*👉Dogo Akajibu,*
*"Bro Usipanick..*
*Kwani hujui Baba ni Trafic..!!*
*"Nimemuwekea Sh's.10,000/= kwenye Daftari.*

🤣🤣🤣👆🏿©




EmoticonEmoticon