SIMBA WAPIGA GOLI LA MAPEMA WASOUTH WACHOMOA DAKIKA YA 70
Liveupdates mechi imeanza Simba Sc Vs idvest friendmatch tutakujuza kila kinachoendelea endelea kuwa nasi.
Liveupdates Simba Sc wanapata goli la kwanza Dk' 33 Kupitia kwa Erasto Nyoni.
SImba 1 Vs 0 Bidvest friendmatch
Liveupdates kipindi cha pili kimeanza Simba wanafanya mabadiliko ;-
Ameatoka Mzamiru Yassin anaingia Jonas Mkude
Ametoka Jamal Mnyate anaingia Mwinyi kazimoto
Ametoka Salim Mbonde anaingia Bakaba Paul
Simba Sc 1 Vs 0 Bidvest friendmatch.
Dakika ya 70 Simba 1- 1 Bidvest
Mpira umeisha SIMBA 1-1 BIDVEST
EmoticonEmoticon