Sunday, August 27, 2017

HIKI NDICHO KICHAPO ALICHOTOA LIVERPOOL KWA ARSENSAL

Tags


LIVERPOOL ATOA ONYO LA MAMA MKANYE MWANAO ASIJE KUPENDA TIMU ZA TIAMAJITIAMAJI



Klabu ya Liverpool imefanikiwa kupata Ushindi Mnono wa goli 4-0 dhidi ya washika bunduki wa London Klabu ya Arsenal.
Liverpool iliyokuwa nyumbani Anfrid imeutumia vema uwanjani wao wa nyumbani kwa kuwalaza Arsenal magoli manne bila jibu, magoli ya Liverpool yamefungwa na Firmino dakika ya 17 kipindi cha kwanza, Mane dakika ya 40 kipindi cha kwanza mpaka dakika 45 za kipindi cha kwanza zinaisha matokeo yalikuwa Liverpool 2-0 Arsenal.
Timu zilirejea Uwanjani kumalizia dakika 45 za kipindi cha pili ndipo Salah alipoipatia Liverpool goli la 3 na Sturridge akaitimisha magoli manne (4) kunako dakika ya 77.
Mpaka dakika 90 zinaisha Liverpool 4-0 Arsenal.























EmoticonEmoticon