Baada ya Chelsea kumuua spurs jumapili wachezaji walipofika vyumbani wakaanza kukata mauno. Hii ni Furaha yao baada ya wao kufa mchezo wa round kwanza na Burnley 3 kwa 2 Chelsea wakiwa nyumbani. Lakini jumapili ya juzi Chelsea wakiwa ugenini wanafanikiwa kumvunja kisiki Tottenham na furha hiyo ilikuwa zaidi kwa wabrazil willian na David Luis wakiungana na pengine.
EmoticonEmoticon