Tuesday, August 29, 2017

TIMU YA TAIFA IKIWA MAZOEZINI KWAAJILI YA BOTSWANA JMOSI HII

Tags

PICHA:KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA TANZANIA,TAIFA STARS KIKIENDELEA NA MAZOEZI KATIKA UWANJA WA UHURU KUJIANDAA NA MECHI DHIDI YA BOTSWANA 


www.MICHAKATOYETU.blogsport.com


Timu ya Taifa Stars inaendelea na mazoezi hapa uwanja wa Uhuru kujiandaa na mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Botswana.

Samara, maguli wameshafika na msuva kaingia usiku wa leo 





KIKOSI KAMILI KILICHOITWA NA KOCHA SALUM.




EmoticonEmoticon