Saturday, August 19, 2017

MECHI YA YANGA LEO ITAKUWA LIVE HUKO PEMBA

Tags



Ndugu msomaji wa MICHAKATO YETU BLOG  Klabu ya Yanga leo Jumapili itashuka dimbani kutest mitambo dhidi ya Jamhuri katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba, katika maandalizi ya mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Simba na msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara, muda wa mechi hii utakuwa ni saa 16:00 za jioni na mechi hii itakuwa live kupitia Kingamuzi cha Azam Channel namba 106 Sports 2.




Kama ilivyokawaida ya MICHAKATO YETU tutakuwa karibu nawe kukuletea update zote zinazojili Uwanja pia tutahakikisha tunakuwekea Kikosi cha Yanga kinachoanza kabla ya mechi hiyo kuanza endelea kuwa nasi kwa habari zote za Michezo na Usajili.




EmoticonEmoticon