Klabu ya Yanga imethibitisha kuikosa huduma ya Mshambuliaji wake "Obrey Chirwa" pamoja na Winga wake "Geoffrey Mwashiuya" katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Singida Unuted.
Mchezo huo unatarijiwa kupigwa kesho katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam mida ya saa 10:00 jioni.
usisahau Ku share page hii kwenye magroup ya whatsap na Facebook bila kusahau mitandao mingine ya kijamii
EmoticonEmoticon