Thursday, August 10, 2017

VIINGILIO VYA MECHI YA KIRAFIKI KATI YA R.SHOOTING VS YANGA HIVI HAPA

Tags


 Kama unataka kuiona Yanga ikimenyana na Ruvu Shooting? Hivi hapa viingilio ili uweze kuiona mechi ya kirafiki kati ya Yanga vs Ruvu Shooting Siku ya Jumamosi mida ya saa 10:00 jioni uwanja wa Taifa Jinini Dar es salaam.
VIP-A -15,000/=
VIP -B&C-10,000/=
MZUMGUKO-3,000/=


EmoticonEmoticon