Friday, August 18, 2017

DIEGO COSTA AGOMA KURUDI CHELSEA AUZWA KWA BEI YA KUTUPWA

Tags



Uongozi wa Chelsea umeamua kumuuza kwa hasara mshambuliaji wake, Diego Costa
Uamuzi huo umetokana na mshambuliaji huyo kugoma kujiunga na kikosi hicho katika msimu mpya Ligi Kuu England.

Kutokana na sakata hilo kuendelea tangu ligi hiyo ilipoanza, uongozi umeamua kumuuza kwa klabu yake ya Zamani  Atletico Madrid.

Klabu hiyo imetangaza dau la Pauni Miilioni 20 ikilinganishwa na dau la Pauni 50 milioni lililotumika kumleta kwa mabingwa hao wa England kutoka Atletico Madrid.




EmoticonEmoticon