Saturday, August 5, 2017

GADIEL MICHAEL SASA RASMI YANGA MIAKA 2

Tags


Klabu ya Yanga Sc ambao ndio mabingwa wa Tanzania 2016/2017 wamefanikiwa kuinasa saini ya beki wa pembeni wa Tanzania na klabu ya Azam alinyeng'ara kwenye michuano ya COSAFA Gadiel Michael kutoka Azam Fc.

www.michakatoyetu.com imethibitisha kuwa Gadiel Michael amejiunga na Klabu ya Yanga kwa mkataba wa miaka miwili tayari kuitumikia klabu hiyo akitokea Azam ambayo ilikuwa imemgomea kujiunga na Yanga na kwa taarifa ambazo michakatoyetu.com ilikuwa imezipata muda mchache Klabu hiyo ilimruhusu kujiunga na Yanga nao Yanga hawakulala mambo yamekuwa bomba sasa ni rasmi Gadiel Michael ataitumikia Klabu yake mpya kwa misimu miwili ijayo.



EmoticonEmoticon