Baada ya kurejea Tanzania akiwa nje ya klabu yake ya awali Haruna Niyonzima msimu ujao atakuwa na Uzi mwekundu na mweupe namaanisha Simba Sc.
Leo asubuhi ameungana na klabu yake mpya ya Simba katika mazoezi kujiandaa na mechi ya Simba Day hapo kesho dhidi ya Rayon Sports ya nchini Rwanda.
EmoticonEmoticon