Agenda za mkutano Mkuu Maalumu wa Simba Sports Club utakaofanyika tarehe 20/08/2017 katika Ukumbi wa Mwalimu Njerere.
1:Kuhakiki Idadi ya wanachana wanaoudhuria mkutano
2:Kufungua mkutano
3:Kudhibitisha Ajenda
4:Hotuba ya Raid
5:Kuwasilisha mapendekezo ya mabadiliko ya mfumo wa Simba Sports Club
6:Kujadili mapendekezo ya mabadiliko ya mfumo wa Simba Sports Club
7:Kupiga kura juu ya mapendekezo ya mabadiliko ya mfumo wa Simba Sports Club
8:Majumuisho ya Ajenda namba 7
9:Kufunga mkutano.
EmoticonEmoticon