*Hivi ikitokea siku* *moja ukagundua* *kuwa meno yako yote ni Dhahabu, na* *thamani yake ni shilingi milioni KUMI kwa kila jino moja Utafanya nini?*
*Sema ukweli... maana kwa ninavyokujua.. utabaki kibogoyo*
π€π€π€π€ππππππππππππππππ€
*Mlevi mmoja alikuwa anakula ugali na samaki Mkewe akamwambia "Mume wangu angalia miba isije ikakuchoma" Mlevi akajibu "Usijali mke wangu nimevaa viatu"*
ππππππππππππππππ
*Pombe sio chai*
π¬π¬π
ππ
ππ
*MGANGA ANAWEZA AKAWA ANADAWA ZOTE, LAKINI DAWA YA MENO YA KUPIGIA MSWAKI ANANUNUA KWA CHINGA*
*hapo ndo utaelewa Kwann muuza mkaa haogi mchana*
πππ ππππNdo unaambiwa upambane na hali yako, we huelewi.
*binafsi mimi huwa napenda waschana wenye mizigo tena mizigo mikubwa haswaa maana akija nao ukienda kumpokea lazima akupe jero ya soda...π€£π€£π€£ Endelea kuwaza ujinga*
Wakati unatamani baba yako angekuwa #Dangote.
Wakati huo huo baba yako naye anatamani we ungekuwa MBWANA SAMATTA πππππ
Kumbukeni Shetani Anacheza na Akili zenu wote wawili ππππππ―π―π―
1 comments so far
BLOG HII HIPO KWAAJILI YAKO *TUNARECORD AUDIO, (singeli, bongo
flavour, hipop). *TUNAWEKA NYIMBO (AUDIO & VIDEO)
MTANDAONI KWA GARAMA NAFUU! (ILI UWEWAKWANZA KUPATA NGOMA
MPYA TAFADHARI FOLLOW BLOG HII) ---KWA MAWASILIANO PIGA & SMS
0762095324 --- THANKS!! THANKS!! THANKS!!
EmoticonEmoticon