Tuesday, August 29, 2017

MBAO FC YALAMBA DUME LEO 29/08/2017

Tags






Klabu ya Mbao FC imeingia mkataba na Kampuni ya GF TRUCK & EQUIPMENT LTD wenye thamani ya Tsh.Milioni 140 huku nusu ya fedha hizo ziitumika kwa ajili ya kunua basi la Timu hiyo.

Mkataba ambao Mbao FC imeingia na Kampuni hiyo umegawanyika katika sehemu 2, ambazo kwa upande wa jezi ni mwaka mmoja, na upande wa branding ya basi hapo itakuwa miaka miwili


EmoticonEmoticon