Wednesday, August 16, 2017

NJOMBE MJI LEO NDANI YA SONGEA NA JKT MLALE

Tags


Leo jumatano hii ndani ya uwanja wa majimaji mjini Songea NJOMBE MJI wanakipiga mechi ya kirafiki na timu ya ligi daraja la kwanza kutoka Songea  JKT MLALE.

Njombe ni timu iliyopanda daraja kucheza ligi Kuu msimu huu wa 2017/2018 

Hapo juu Hawa ni NJOMBE MJI wakiwa katika warming up

Hapo juu ni JKT MLALE wakiwa ktk warming up

Michezo utaanza saa 10.30 jioni hii


 NJOMBE MJI kesho ALHAMISI 17/08/2017 wanataraji kukipiga na MAJIMAJI FC hapahapa uwanja wa majimaji

Endelea kuwa nasi kukujuza matokeo ya michezo huu





EmoticonEmoticon