Ndugu msomaji wa MICHAKATOYETU Blog tukiwa tumebakiwa na siku chache kuelekea mechi kali ya kuashiria ufunguzi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara huyu ndiye mwamuzi wa kati Wa mechi hiyo ya watani wa Jadi.
Elly Sassi mwenye umri wa miaka 28 ambaye ndiye mwamuzi bora Ligi Kuu msimu ulioisha 2016/2017 ndiye akayekuwa Refa wa kati mechi ya Ngao ya Jamii Jumatano ya wiki Ijayo kati ya Simba na Yanga mechi itakayopigwa Uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam saa 16:00 za Jioni.Share kwa wengine hii
EmoticonEmoticon