Tuesday, August 1, 2017

Kikosi cha SIMBA kilichoanza leo HUKO SOUTH

Tags

Kocha wa simba leo anaanza kusaka kikosi cha kwanza kwenye timu yake yenye wachezaji lukuki wenye uwezo unaofanana. Leo ameanza na kikosi hiki


List;

Said Mohamed
Ally  shomari
Jamal Mwambeleko
Erasto Nyoni
Salim Mbonde
Jonas Mkude
Jamal Mnyate
James Kotei
John Bocco
Emmanuel Okwi
Mohamed Ibrahim


Matokeo tutakujuza baada ya mchezo


EmoticonEmoticon